CBC Grade 1 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 39
a. Huyu mtoto anaitwa ___
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2025 (SET 4) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
11. Soma taarifa ifuatayo. (Uwanjani, Jumamosi, Kamba, Amina, Sita)
Huyu ni Amina. Yeye ni mtoto mzuri. Anapenda kuruka kamba. Leo ni Jumamosi. Amina hajaenda shule. Atacheza uwanjani na wenzake. Ana umri wa miaka sita.

a. Huyu mtoto anaitwa ____
Answer
Amina
Jibu liko kwenye taarifa: Amina.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.