CBC Grade 1 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 30
Kati ya mvulana na msichana ni nani mkubwa?
From Kiswahili — End Term 1 Exam 2025 (SET 3) — Sehemu B · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma hadithi na ujibu maswali.
Musa
Musa anaenda sokoni na watoto wake. Watoto wa Musa ni wawili. Yule mdogo ni mvulana. Yule mkubwa ni msichana.
30. Kati ya mvulana na msichana ni nani mkubwa?
Answer
msichana
Jibu liko kwenye hadithi: msichana.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Ambatanisha jina na nambari 6. mojaQuestion 6
- Kamilisha vitendawili vifuatavyo 11. Nyumba yangu kubwa mlango mdogo.Question 11
- Tik! Tak! Tik! Tak!Question 12
- Nikimpiga mwanangu watu hucheza.Question 13
- Linganisha maneno na picha Picha 1Question 14
- Andika sentensi hizi kwa wingi 19. Mimi ninasomaQuestion 19