CBC Grade 1 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 11
Kamilisha vitendawili vifuatavyo 11. Nyumba yangu kubwa mlango mdogo.
From Kiswahili — End Term 1 Exam 2025 (SET 3) — Sehemu B · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vitendawili
Kamilisha vitendawili vifuatavyo
11. Nyumba yangu kubwa mlango mdogo.
- Asahani
- Bchupa
Answer
B. chupa
Chupa ina nafasi kubwa ndani na mdomo mdogo.