CBC Grade 1 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2025 · Question 39
iv) Je, huwa mnakula chakula cha jioni saa ngapi?
From Kiswahili — Mid Term 2 Exams 2025 (SET 10) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Saa ni chombo ambacho hutuonyesha wakati. Saa yaweza valiwa mkononi au kupandikwa kwenye ukuta. Saa ina mishale miwili. Mishale iliyoko kwenye saa hutumika kuonyesha wakati. Ni bora kila mtu kufuata saa. Sisi hula chakula cha asubuhi saa moja, cha mchana saa saba na cha usiku saa mbili jioni. Mwalimu wetu mkuu hutueleza tuwe watiifu kwa saa. Tukitaka kuwa viongozi bora lazima tuangalie saa.
iv) Je, huwa mnakula chakula cha jioni saa ngapi?
Answer
saa mbili jioni
Jibu liko kifunguni: saa mbili jioni.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.