CBC Grade 1 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2025 · Question 4
iv) Taja faida moja ya huyu mnyama.
From Kiswahili — Mid Term 2 Exams 2025 (SET 10) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Wanyama
Tazama picha kisha ujibu maswali utakayoulizwa na mwalimu. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuongea.

iv) Taja faida moja ya huyu mnyama.
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Hubeba mizigo.
Punda hutusaidia kubeba mizigo na kuvuta mikokoteni.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.