naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2025 · Question 6

Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.

From Kiswahili — Mid Term 2 Exams 2025 (SET 10) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufasaha

Tetema aliamka mapema asubuhi hiyo. Alijitayarisha kuenda shule. Ilikuwa zamu yake ya kulifagia darasa. Alifika shuleni saa moja na nusu. Alifagia darasa kisha akatupa takataka kwenye pipa. Masomo yalianza. Ilipofika saa nne wanafunzi walienda kwenye mapumziko. Tetema na marafiki zake walienda kucheza. Walipenda mchezo wa kandanda. Walifika uwanjani kwa hamu ila hawakupata mpira wao. Waliamua kuunda mpira mwingine kwa kutumia karatasi zilizotupwa kwenye pipa.

Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.

Answer

Soma kila neno wazi na usimame kidogo kwenye kila kitone.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test