CBC Grade 1 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2025 · Question 37
ii) Saa yaweza wekwa wapi?
From Kiswahili — Mid Term 2 Exams 2025 (SET 10) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Saa ni chombo ambacho hutuonyesha wakati. Saa yaweza valiwa mkononi au kupandikwa kwenye ukuta. Saa ina mishale miwili. Mishale iliyoko kwenye saa hutumika kuonyesha wakati. Ni bora kila mtu kufuata saa. Sisi hula chakula cha asubuhi saa moja, cha mchana saa saba na cha usiku saa mbili jioni. Mwalimu wetu mkuu hutueleza tuwe watiifu kwa saa. Tukitaka kuwa viongozi bora lazima tuangalie saa.
ii) Saa yaweza wekwa wapi?
Answer
mkononi au ukutani
Jibu liko kifunguni: mkononi au ukutani.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- iii) Ni sehemu ipi ya saa hutumika kuonyesha wakati?Question 38
- iv) Je, huwa mnakula chakula cha jioni saa ngapi?Question 39
- v) Nani huwahimiza wanafunzi ili watii saa?Question 40
- Andika sentensi tano kuhusu mimi.Question 41
- i) Hii picha ni ya mnyama yupi?Question 1
- ii) Huyu mnyama ana pembe ngapi?Question 2