CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 25
b) Mtoto ___ analala.
From Kiswahili — Revision 6 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Matumizi ya Huyu na Hawa
5. Jaza pengo ukitumia "Huyu" au "Hawa"
b) Mtoto ____ analala.
- Ahuyu
- Bhawa
Answer
A. huyu
Mtoto ni mmoja, kwa hiyo tunatumia "huyu".