CBC Grade 1 Kiswahili Mid Term Exam · Question 12
Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Siku ya Ijumaa tulienda sokoni. Tulipanda gari jekundu la baba. Nilikuwa na baba na mama yangu. Tulipofika sokoni…
From Kiswahili — General Midterm Assessment · 1 mark · Topic: Tarakimu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma ufahamu huu kisha ujibu swali.
Siku ya Ijumaa tulienda sokoni. Tulipanda gari jekundu la baba. Nilikuwa na baba na mama yangu. Tulipofika sokoni tulinunua mboga, mahindi na maharagwe. Pia, baba alininunulia shati na viatu vya shule. Tulirudi nyumbani jioni tukiwa na furaha.
1. Tulienda sokoni siku gani?
Answer
Ijumaa
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Siku ya Ijumaa tulienda sokoni. Tulipanda gari jekundu la baba. Nilikuwa na baba…Question 13
- Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Siku ya Ijumaa tulienda sokoni. Tulipanda gari jekundu la baba. Nilikuwa na baba…Question 14
- Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Siku ya Ijumaa tulienda sokoni. Tulipanda gari jekundu la baba. Nilikuwa na baba…Question 15
- Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Siku ya Ijumaa tulienda sokoni. Tulipanda gari jekundu la baba. Nilikuwa na baba…Question 16
- Tumia '-baya' au '-zuri' kujaza nafasi. Chakula hiki ni ___ sana; nimekula kingi.Question 17
- Ajali iliyofanyika ilikuwa ___ sana.Question 18