CBC Grade 1 Kiswahili Mid Term Exam · Question 16
Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Siku ya Ijumaa tulienda sokoni. Tulipanda gari jekundu la baba. Nilikuwa na baba na mama yangu. Tulipofika sokoni…
From Kiswahili — General Midterm Assessment · 1 mark · Topic: Tarakimu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma ufahamu huu kisha ujibu swali.
Siku ya Ijumaa tulienda sokoni. Tulipanda gari jekundu la baba. Nilikuwa na baba na mama yangu. Tulipofika sokoni tulinunua mboga, mahindi na maharagwe. Pia, baba alininunulia shati na viatu vya shule. Tulirudi nyumbani jioni tukiwa na furaha.
5. Tulirudi nyumbani wakati gani?
Answer
Jioni
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Tumia '-baya' au '-zuri' kujaza nafasi. Chakula hiki ni ___ sana; nimekula kingi.Question 17
- Ajali iliyofanyika ilikuwa ___ sana.Question 18
- Alama zake zilikuwa ___ akapewa zawadi.Question 19
- Bustani yetu ina maua ___ yanapendeza.Question 20
- Tumia '-angu' kwa usahihi. Jina ___ ni Juma.Question 21
- Mwalimu ___ ameenda darasani.Question 22