CBC Grade 9 Kiswahili End Term 3 Exam 2025 · Question 6
Nomino sahihi katika sentensi ifuatayo ni ipi? "Wanafunzi walifagia darasa."
From Test 120 — Kiswahili Karatasi ya 1 (902/1) — KEJSEA 2025 End Term 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Aina za Maneno
Nomino sahihi katika sentensi ifuatayo ni ipi? "Wanafunzi walifagia darasa."
- AWanafunzi
- BWalifagia
- CDarasa
- DA na C
Answer
D. A na C
Jibu sahihi ni D: A na C.