CBC Grade 9 Kiswahili End Term 3 Exam 2025 · Question 10
Kitenzi "ameandika" kiko katika hali ipi?
From Test 120 — Kiswahili Karatasi ya 1 (902/1) — KEJSEA 2025 End Term 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Vitenzi, Nyakati na Mnyambuliko
Kitenzi "ameandika" kiko katika hali ipi?
- AHali ya sasa
- BHali ya zamani
- CHali ya baadaye
- DHali timilifu
Answer
D. Hali timilifu
Jibu sahihi ni D: Hali timilifu.