CBC Grade 9 Kiswahili End Term 3 Exam 2025 · Question 14
Nomino ya mahali ni ipi?
From Test 120 — Kiswahili Karatasi ya 1 (902/1) — KEJSEA 2025 End Term 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Aina za Maneno
Nomino ya mahali ni ipi?
- ADarasa
- BChakula
- CKitabu
- DKisu
Answer
A. Darasa
Jibu sahihi ni A: Darasa.