CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 3 · Question 19
Andika katika wakati uliopo: Mwalimu atakupa maoni yake kuhusu insha utakayoandika.
From Test 112 — Kazi ya Ziada (Kiswahili) · 1 mark · Topic: Sarufi, Vitenzi, Nyakati na Mnyambuliko
Andika katika wakati uliopo: Mwalimu atakupa maoni yake kuhusu insha utakayoandika.
Answer
Mwalimu anakupa maoni yake kuhusu insha unayoandika.
Angalia mwongozo wa kusahishi/kigezo cha alama.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Andika ngeli sahihi kulingana na nomino zifuatazo: Chandarua, Nyani, Ndizi.Question 20
- Andika sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali ya kuendelea: Wakulima wanapanda mbegu.Question 21
- Andika kinyume cha neno: GizaQuestion 22
- Andika kinyume cha neno: ButuQuestion 23
- Tunga sentensi ukitumia kitenzi kisaidizi (ngeli).Question 24
- Tunga sentensi moja ukitoa maana mbili za neno 'chungu'.Question 25