CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Mid Term 3 Exam · Question 8
Eleza sifa mbili za Daktari Muna.
From Test 107 — Kiswahili Karatasi ya 2 (KJSEA Prediction Series Midterm) · 2 marks · Topic: Fasihi, Novela na Hadithi Fupi
Soma sehemu ifuatayo ya novela kisha ujibu maswali (Zoezi III). Kumbuka: kichwa cha sehemu hii kwenye karatasi asilia kinasema '(Alama 15)' lakini jumla halisi ya alama za sehemu ndogo ni 12 — tazama muhtasari wa hitilafu ya chanzo.
Ndani ya hospitali ndogo ya mtaa, Daktari Muna alisimama karibu na kitanda cha mgonjwa. Mgonjwa huyo alikuwa kijana mdogo aitwaye Musa, aliyekuwa amejeruhiwa wakati wa ajali ya pikipiki. Mama yake Musa alikuwa amekaa pembeni, machozi yakimtiririka. Daktari Muna alimfariji kwa maneno ya upole, akimwahidi kuwa Musa atapona.
Baada ya muda mfupi, rafiki wa Musa, Said, aliingia na kuleta msaada wa kifedha uliotokana na mchango wa vijana wa kijiji. Mama yake Musa aliguswa sana na mshikamano huo. Alitambua kuwa mshikamanifu na mshirikiano ni silaha muhimu za jamii.

Answer
Upole/huruma; kitaalamu/msaada wa kimfumo.
Mwongozo unaorodhesha upole/huruma na kitaalamu/msaada wa kimfumo kama sifa za Daktari Muna.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Eleza changamoto iliyomkumba Mama yake Musa.Question 9
- Eleza matukio makuu matatu yaliyotokea katika sehemu hii.Question 10
- Taja mbinu moja ya lugha iliyotumika na ueleze.Question 11
- Andika maudhui mawili yanayojitokeza.Question 12
- Eleza umuhimu wa mahali ambapo onyesho hili linafanyika.Question 13
- Toa sifa mbili za Bi Rehema.Question 14