naQonda

CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Mid Term 3 Exam · Question 7

Bainisha mandhari mawili yanayojitokeza katika dondoo hili.

From Test 107 — Kiswahili Karatasi ya 2 (KJSEA Prediction Series Midterm) · 2 marks · Topic: Fasihi, Novela na Hadithi Fupi

Soma sehemu ifuatayo ya novela kisha ujibu maswali (Zoezi III). Kumbuka: kichwa cha sehemu hii kwenye karatasi asilia kinasema '(Alama 15)' lakini jumla halisi ya alama za sehemu ndogo ni 12 — tazama muhtasari wa hitilafu ya chanzo.
Ndani ya hospitali ndogo ya mtaa, Daktari Muna alisimama karibu na kitanda cha mgonjwa. Mgonjwa huyo alikuwa kijana mdogo aitwaye Musa, aliyekuwa amejeruhiwa wakati wa ajali ya pikipiki. Mama yake Musa alikuwa amekaa pembeni, machozi yakimtiririka. Daktari Muna alimfariji kwa maneno ya upole, akimwahidi kuwa Musa atapona.
Baada ya muda mfupi, rafiki wa Musa, Said, aliingia na kuleta msaada wa kifedha uliotokana na mchango wa vijana wa kijiji. Mama yake Musa aliguswa sana na mshikamano huo. Alitambua kuwa mshikamanifu na mshirikiano ni silaha muhimu za jamii.

Bainisha mandhari mawili yanayojitokeza katika dondoo hili.

Answer

Hospitali/afya; mshikamano wa kijamii.

Mwongozo unaorodhesha hospitali/afya na mshikamano wa kijamii kama mandhari mawili.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test