naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 6

Jaza nafasi (1): 'Binadamu anapaswa kuishi kulingana na uwezo ___.'

From Test 10 — Term 2: Midterm Assessment 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Aya ya kujaza nafasi
Binadamu anapaswa kuishi kulingana na uwezo ___________ (1). Si vyema kushindana na wengine kwani mtu hujikuna ajipatapo ___________ (2). Wazazi wangu walinishauri ___________ (3) moyo kila mara ili nifanikiwe.
Tunapaswa kusaidiana katika shughuli ___________ (4) tunazofanya kila siku. Kila mja hupaswa kufanya kazi ___________ (5) alijaliwa.

Jaza nafasi (1): 'Binadamu anapaswa kuishi kulingana na uwezo ___________.'

Answer

wake

Neno/maneno sahihi ya kujaza pengo hili ni 'wake'.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test