CBC Grade 6 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 8
Jaza nafasi (3): 'Wazazi wangu walinishauri ___ moyo kila mara ili nifanikiwe.'
From Test 10 — Term 2: Midterm Assessment 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Aya ya kujaza nafasi
Binadamu anapaswa kuishi kulingana na uwezo ___________ (1). Si vyema kushindana na wengine kwani mtu hujikuna ajipatapo ___________ (2). Wazazi wangu walinishauri ___________ (3) moyo kila mara ili nifanikiwe.
Tunapaswa kusaidiana katika shughuli ___________ (4) tunazofanya kila siku. Kila mja hupaswa kufanya kazi ___________ (5) alijaliwa.

Jaza nafasi (3): 'Wazazi wangu walinishauri ___________ moyo kila mara ili nifanikiwe.'
Answer
kuweka
Neno/maneno sahihi ya kujaza pengo hili ni 'kuweka'.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Jaza nafasi (4): 'Tunapaswa kusaidiana katika shughuli ___ tunazofanya kila siku.'Question 9
- Jaza nafasi (5): 'Kila mja hupaswa kufanya kazi ___ alijaliwa.'Question 10
- Andika sentensi kwa kutumia neno "ndiye" kwa usahihi.Question 11
- Tumia neno "nyumbani" katika sentensi.Question 12
- Badili kitenzi "imba" katika kauli ya kutendewa.Question 13
- Andika kiwakilishi sahihi: "___ mliitwa na mwalimu lakini hamkuenda."Question 14