naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 21

Khamisi na Lila hununua zao gani kwa siku moja?

From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025 (Set 11) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali ya 18 hadi 22.
Bwana Juma ni mkulima mashuhuri katika kijiji cha Rafiki. Analima mazao mbalimbali ya chakula na biashara. Mazao haya huuzwa kwa wanunuzi wakuu wanne: Khamisi, Lila, Mumo na Neema. Kila mnunuzi hununua mazao tofauti kwa siku tofauti. Tazama jedwali lifuatalo:
Jumatatu: Khamisi – Mahindi; Lila – Miwa; Mumo – Viazi; Neema – Mpunga
Jumanne: Khamisi – Maharagwe; Lila – Maharagwe; Mumo – Mahindi; Neema – Miwa
Jumatano: Khamisi – Viazi; Lila – Mahindi; Mumo – Maharagwe; Neema – Viazi
Alhamisi: Khamisi – Mpunga; Lila – Viazi; Mumo – Miwa; Neema – Maharagwe
Ijumaa: Khamisi – Miwa; Lila – Mpunga; Mumo – Mpunga; Neema – Mahindi

21. Khamisi na Lila hununua zao gani kwa siku moja?

  1. AMaharagwe
  2. BViazi
  3. CMpunga
  4. DMiwa

Answer

A. Maharagwe

Jumanne wote wawili hununua maharagwe.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test