naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 38

Msisitizo sahihi wa shairi la mtiririko ni

From Kiswahili — End of Term 2 Examination 2026 (Set 10) · 1 mark · Topic: Fasihi, Ushairi

38. Msisitizo sahihi wa shairi la mtiririko ni

  1. Ahuwa na vina na mizani ngumu
  2. Bhuandikwa bila kufuata sheria za kawaida
  3. Chuwa na beti na vina vya kawaida
  4. Dhuandikwa kwa lugha ya kisasa tu

Answer

C. huwa na beti na vina vya kawaida

Shairi la mtiririko lina beti zenye vina vinavyofanana kuanzia ubeti wa kwanza hadi wa mwisho. Shairi lisilofuata sheria ni shairi huru.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test