CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 31
Chagua tashbihi sahihi:
From Kiswahili — End of Term 2 Examination 2026 (Set 10) · 1 mark · Topic: Fasihi, Tamathali za Usemi
31. Chagua tashbihi sahihi:
- AYeye ni simba.
- BYeye ni kama simba.
- CSimba ndiye yeye.
- DKama simba yeye ni.
Answer
B. Yeye ni kama simba.
Tashbihi hulinganisha kwa kutumia "kama".