CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 9
Ni methali gani inayoendana na hadithi hii? (1 alama)
From Kiswahili — First Term Assessment 2025 (Set 7) — Fasihi · 1 mark · Topic: Fasihi, Fasihi Simulizi
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali.
"Kulikuwa na mzee mmoja aliyekuwa na hekima tele kijijini. Kila mtu alimheshimu kwa sababu ya busara zake. Siku moja, kijana mmoja alimwendea na kuuliza siri ya maisha yenye furaha. Mzee yule akamweleza kuwa furaha hutokana na uaminifu, upendo, na uvumilivu. Je, kijana yule alifuata ushauri huo?"
8. Ni methali gani inayoendana na hadithi hii? (1 alama)
Answer
"Subira huvuta heri."
Mzee anataja uvumilivu kuwa chanzo cha furaha, na methali hii inasema uvumilivu huleta mema.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU C: USHAIRI 1. Shairi hili linahimiza nini? (1 alama)Question 10
- Taja mbinu mbili za lugha zilizotumika katika shairi. (2 alama)Question 11
- Andika maana ya mstari wa mwisho wa shairi. (1 alama)Question 12
- Eleza maana ya neno "huba" kulingana na muktadha wa shairi. (1 alama)Question 13
- SEHEMU D: WEMA HAUOZI 1. Mhusika mkuu katika hadithi hii ni nani? (1 alama)Question 14
- Taja sifa mbili za Juma. (2 alama)Question 15