CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 32
Taja aina moja ya mtindo wa lugha uliotumika katika kifungu hiki. (1 alama)
From Kiswahili — First Term Assessment 2025 (Set 7) — Fasihi · 1 mark · Topic: Fasihi, Novela
Soma kifungu kifupi kutoka riwaya Mshale wa Matumaini kisha ujibu maswali.
"Aisha alikuwa msichana jasiri aliyepitia changamoto nyingi maishani. Alikua katika mazingira magumu, lakini hakuwahi kukata tamaa. Alipokuwa shuleni, alijitahidi sana masomoni licha ya changamoto za kifamilia. Kila mtu alimtazama kama mfano wa kuigwa kwa sababu ya bidii na uvumilivu wake. Hatimaye, juhudi zake zilimpeleka katika chuo kikuu, ambako aliendelea kuwa mwangaza kwa wengi."
9. Taja aina moja ya mtindo wa lugha uliotumika katika kifungu hiki. (1 alama)
Answer
Tamathali ya usemi (sitiari) – mfano: "kuwa mwangaza kwa wengi."
Aisha anaitwa mwangaza bila kutumia "kama": hiyo ni sitiari, aina ya tamathali ya usemi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Hadithi hii inahimiza tabia gani miongoni mwa wanafunzi? (1 alama)Question 33
- SEHEMU B: FASIHI SIMULIZI 1. Hadithi hii inahusu nani? (1 alama)Question 1
- Kwa nini kijana alimwendea mzee? (1 alama)Question 2
- Mzee alimpa kijana ushauri gani? (1 alama)Question 3
- Taja sifa mbili za mzee katika hadithi hii. (2 alama)Question 4
- Toa maana ya maneno yafuatayo kulingana na hadithi: (a) Hekima (1 alama)Question 5