CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 8
Ni ipi kati ya hizi ni aina ya kitenzi jina?
From Kiswahili — First Term Assessment 2025 (Set 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vitenzi Jina
8. Ni ipi kati ya hizi ni aina ya kitenzi jina?
- AKufanya
- BKazi
- CCheza
- DPika
Answer
A. Kufanya
Kitenzi jina huanza na ku-.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ni ipi kati ya hizi ni nomino ya kundi?Question 9
- Nomino ipi inaonyesha hali ya hisia?Question 10
- Taja aina tatu za vielezi na toa mifano.Question 11
- Ni ipi kati ya hizi ni nomino ya dhahania?Question 12
- Katika sentensi "Alienda sokoni mapema sana," neno "mapema" ni kielezi cha nini?Question 13
- Ni ipi kati ya hizi si aina ya kitenzi?Question 14