naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 37

Ukanusho wa sentensi "Wanafunzi wanacheza shambani" ni:

From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 011 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanusho wa Sentensi

37. Ukanusho wa sentensi "Wanafunzi wanacheza shambani" ni:

  1. AWanafunzi hawakucheza shambani.
  2. BWanafunzi hawachezi shambani.
  3. CWanafunzi hawatacheza shambani.
  4. DWanafunzi hawajacheza shambani.

Answer

B. Wanafunzi hawachezi shambani.

Wakati uliopo (-na-) hukanushwa kwa ha- na -i mwishoni: wanacheza → hawachezi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test