naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 35

Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 35.

From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 010 (Set 13) · 1 mark · Topic: Kuandika, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Kifungu kifuatacho kina nafasi ya 26 hadi 35. Umepewa majibu manne. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi.

Dunia yetu ina __26__ na milima, maziwa na mito. Ni __27__ muhimu sana kuitunza. Kila mmoja wetu __28__ na jukumu la kuhakikisha mazingira __29__ salama. Hatuwezi __30__ serikali pekee. Mabadiliko __31__ na kila mmoja wetu. Kupanda __32__ kunasaidia __33__ hewa, na kutunza __34__ ya wanyama. __35__, ni jukumu letu sote kulinda dunia yetu.

35. Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 35.

  1. AKwa kifupi
  2. BMwishowe
  3. CLakini
  4. DNa

Answer

A. Kwa kifupi

“Kwa kifupi” hutumika kufupisha na kuhitimisha hoja zilizotangulia.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test