CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 50
Kamilisha methali ifuatayo: Usipoziba ufa...
From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali
50. Kamilisha methali ifuatayo: Usipoziba ufa...
- Autajenga nyumba.
- Butabomoa ukuta.
- Cutaziba paa.
- Dutajenga ukuta.
Answer
D. utajenga ukuta.
Methali kamili ni "Usipoziba ufa utajenga ukuta": tatizo dogo lisiposhughulikiwa mapema huwa kubwa.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kifungu kinasema kwamba uhai usingewezekana bila kitu gani?Question 1
- Maji husaidia katika usagaji wa chakula, mzunguko wa damu, na kuondoa taka mwilini kupitia nini?Question 2
- Kipi kati ya vifuatavyo sio chanzo cha maji kwa ajili ya kilimo kilichotajwa?Question 3
- Viwandani, maji hutumika kwa njia mbalimbali. Ni kipi kati ya vifuatavyo sio matumizi ya maji viwandani kulingana na…Question 4
- Magonjwa yafuatayo huenezwa kupitia maji machafu isipokuwa:Question 5
- Jukumu la kuhakikisha vyanzo vya maji vinalindwa na maji yanatibiwa ni la nani?Question 6