CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 16
(a) Andika neno la nafasi (a).
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati
Soma mazungumzo yafuatayo kisha uandike neno linalofaa kwa kila nafasi.
Afisa: Je, ulimwona mwizi (a) __________ dukani usiku wa jana?
Shahidi: Ndiyo afisa. Nilikuwepo. Mwizi (b) __________ mkoba wa mwenye duka kwa haraka.
Afisa: Vizuri. Kesho jaji (c) __________ kesi hii mahakamani. Tutahitaji ushuhuda wako.
5. (a) Andika neno la nafasi (a).
Answer
akiingia
Kitendo kilichokuwa kikiendelea: akiingia.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.