CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 12
Jitambulishe kwa kutaja jina lako, gredi yako na jambo moja unalopenda kufanya shuleni. (Alama 3)
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 13) — Kusikiliza na Kuongea · 3 marks · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kujitambulisha
Mwalimu anakuuliza swali. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa sauti inayosikika na kwa sentensi kamili.
1. Jitambulishe kwa kutaja jina lako, gredi yako na jambo moja unalopenda kufanya shuleni. (Alama 3)
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Jina langu ni Kevin. Niko Gredi ya 5. Ninapenda kucheza mpira wa miguu shuleni.
Taja mambo matatu: jina, gredi na jambo unalopenda.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Eleza umuhimu wa kuwasaidia watu wengine. (Alama 3)Question 13
- Taja njia tatu za kuonyesha heshima kwa walimu na wazazi. (Alama 3)Question 14
- Ukiona mwanafunzi mwenzako akianguka na kuumia uwanjani, ungefanya nini? (Alama 3)Question 15
- Eleza shughuli moja unayopenda kufanya wakati wa mapumziko na kwa nini unaipenda. (Alama 3)Question 16
- Soma kifungu hiki kwa sauti. Zingatia matamshi, ufasaha, kasi, vituo na alama za uandishi.Question 1
- Baraka alikuwa mtoto wa aina gani? (Alama 2)Question 2