CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2025 · Question 13
Wanafanya usafi gani siku ya Jumatatu?
From Kiswahili — End of Year Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 11 – 15.
Darasa letu ni safi sana. Tunafuata ratiba ya usafi kila siku. Jumatatu husafisha sakafu. Jumanne hupanga madawati vizuri. Jumatano hufuta ubao na kuta. Alhamisi hufagia nje ya darasa. Ijumaa hupalilia maua yaliyo karibu na darasa. Usafi ni muhimu sana ili kuepuka magonjwa. Pia darasa safi hufanya kujisikia vizuri kusoma.
13. Wanafanya usafi gani siku ya Jumatatu?
- AKupanga madawati
- BKufagia nje
- CKusafisha sakafu
- DKufuta ubao
Answer
C. Kusafisha sakafu
"Jumatatu husafisha sakafu."