CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 4
Taja kazi mbili ambazo mtoto anaweza kufanya nyumbani kuonyesha heshima.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 Set 7 (Kusikiliza na Kusoma) · 2 marks · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Kusikiliza
Sikiliza kifungu "Heshima". Unaweza kukisikiliza mara mbili. Kisha ujibu kila swali kwa sauti.
Taja kazi mbili ambazo mtoto anaweza kufanya nyumbani kuonyesha heshima.
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Kufagia na kuosha vyombo.
Mtoto mwenye heshima "huwasaidia wazazi kufanya kazi mbalimbali kama kufagia, kuosha vyombo na kupanga nyumba".
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Kwa nini watoto wanapaswa kufundishwa heshima tangu wakiwa wadogo?Question 5
- Soma kifungu kifuatacho kwa sauti, kwa makini na kwa kujiamini.Question 6
- Kifungu kinazungumzia nini?Question 1
- Taja watu wawili ambao mtoto mwenye heshima huwasalimia.Question 2
- Mtoto mwenye heshima hufanya nini shuleni?Question 3