CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2025 · Question 1
Soma kwa sauti
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2025 (Set 10) (Kusoma kwa Sauti) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
14. Soma kwa sauti
Answer
Mazingira safi ni muhimu kwa afya ya kila kiumbe. Maradhi mengi hutokana na uchafu katika mazingira tunamoishi. Ugonjwa wa Malaria husababishwa na uchafu katika mazingira. Mbu wanaoambukiza malaria huishi kwenye mikebe yenye maji iliyotupwa ovyoovyo. Tunapaswa kuyalinda ili yawe safi. Na pia tulale ndani ya chandarua kilichotibiwa.
Soma kila neno wazi na kwa usahihi, kama vile mazingira, wanaoambukiza, ovyoovyo na chandarua kilichotibiwa. Simama kidogo kwenye vituo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.