CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 23
ZOEZI LA 4: KUSOMA KWA UFAHAMU a) Babu anafanya kazi gani?
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali yafuatayo
Babu yangu ni mkulima hodari. Babu yangu anataka kupanda mahindi shambani. Kwanza atafyeka nyasi kwa kutumia kifyekeo. Baada ya kufyeka atalima akitumia jembe au treka. Atapanda mbegu za mahindi na kuyanyunyizia maji. Baada ya muda, babu atapalilia mahindi yake. Mwishowe babu atavuna mahindi na kuyauza sokoni.
ZOEZI LA 4: KUSOMA KWA UFAHAMU
a) Babu anafanya kazi gani?
Answer
ukulima
Jibu: ukulima.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- b) Babu atatumia nini kulima?Question 24
- c) Kifyekeo hutumiwa kufanya nini?Question 25
- d) Mwishowe babu atafanya nini?Question 26
- e) Mahindi yakivunwa huwekwa wapi?Question 27
- ZOEZI LA 5: KUANDIKA Andika insha fupi kuhusu RAFIKI YANGU (Unaweza kutumia jina la kubuni.)Question 28
- ZOEZI LA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA a) Je, shule yako inaitwaje? Unaweza kutumia jina la kubuni.Question 1