CBC Grade 3 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 61
e) Kikapu hicho ni kikubwa. [ hicho – hivyo ]
From Kiswahili — KEYA 2025 Predictions (Set 15) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
e) Kikapu hicho ni kikubwa. [ hicho – hivyo ]
Answer
Vikapu hivyo ni vikubwa.
Ngeli ya KI-VI: ki inakuwa vi. Vikapu hivyo ni vikubwa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.