naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 21

c) Wanafunzi hawa waliamka wakati gani?

From Kiswahili — KEYA 2025 Predictions (Set 15) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Sidi na Sudi ni wanafunzi katika shule ya msingi ya Elimu Bora. Siku ya Ijumaa, waliamka asubuhi na mapema. Mwalimu wao wa darasa aliwaandalia safari ya kuzuru mbuga ya wanyama.
Walipangiwa kuzuru mbuga ya Maasai Mara. Siku hiyo, wanafunzi wote walikuwa na furaha tele. Kila mmoja wao alibeba maji, chakula chepesi na pesa kiasi ya matumizi ya kibinafsi.
Wanafunzi wote walipofika, waliabiri basi lao la shule. Baada ya mwalimu kuhakikisha kwamba wote walikuwa tayari, mwalimu mkuu aliwaombea na punde, safari yao ilianza kuelekea mbugani.

c) Wanafunzi hawa waliamka wakati gani?

Answer

asubuhi na mapema

Waliamka asubuhi na mapema.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test