CBC Grade 3 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 6
ZOEZI LA 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2025 (Set 12) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Mama alikuwa ametuambia kuwa mvua ikinyesha yafaa twende tujikinge ili tusinyeshewe. Siku moja tukiwa tunacheza mpira mvua ikaanza kunyesha. Tulichukua mpira wetu na kuelekea nyumbani mbio. Siku hiyo mvua kubwa ilinyesha sana.
ZOEZI LA 2: KUSOMA KWA SAUTI
Soma kifungu hiki kwa sauti.
Answer
Mama alikuwa ametuambia kuwa mvua ikinyesha yafaa twende tujikinge ili tusinyeshewe. Siku moja tukiwa tunacheza mpira mvua ikaanza kunyesha. Tulichukua mpira wetu na kuelekea nyumbani mbio. Siku hiyo mvua kubwa ilinyesha sana.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- ZOEZI LA 3: SARUFI 1. Tumia "yeye" au "wao". a) ___ walisafiri sanaQuestion 7
- b) ___ anafua nguoQuestion 8
- c) ___ ni wanafunzi wazuriQuestion 9
- d) ___ ametumwa sokoniQuestion 10
- Jaza nafasi ukitumia -nyeupe, -nyekundu au -nyeusi a) Mawingu ya mvua yana rangi ___Question 11
- b) Rangi ya makaa ni___Question 12