CBC Grade 3 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 27
SEHEMU D: KUANDIKA 1. Tazama picha ifuatayo kisha uandike sentensi tatu kuhusu unachokiona:
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2025 (Set 11) · 3 marks · Topic: Kuandika, Kuandika Sentensi

SEHEMU D: KUANDIKA
1. Tazama picha ifuatayo kisha uandike sentensi tatu kuhusu unachokiona:
Answer
Watoto wanacheza uwanjani. Mtoto mmoja anapiga mpira. Wengine wanaruka kamba.
Andika sentensi tatu kamili kuhusu watoto wanaocheza uwanjani.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Andika sentensi mbili kuhusu shule yako. (Unaweza kutumia jina la kubuni.)Question 28
- SEHEMU A: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA a) Ajali ilitokea wapi?Question 1
- b) Ni nini kiligonga gari?Question 2
- c) Kuna mtu aliyeumia sana?Question 3
- d) Nani alifika kusaidia?Question 4
- e) Watu wazima walifanya nini kuwasaidia watoto?Question 5