CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 38
___ ndiye anashughulikia mambo ya nidhamu.
From Kiswahili — Competence Based Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kisha ujibu maswali
Shule yetu inaitwa Osewe. Ina madarasa manane na wanafunzi mia tano hamsini. Walimu wetu ni tisa. Walimu hawa hufanya kazi ya ualimu, yaani kufundisha wanafunzi.
Mwalimu mkuu ni Bwana Hamisi Mwaibale. Yeye ndiye msimamizi mkuu wa shule. Bi Maria ni naibu wa mwalimu mkuu. Yeye humsaidia mwalimu mkuu kusimamia shule haswa katika upande wa nidhamu.
Bi Maria pia ni mwalimu wa darasa letu. Yeye hapendi wanafunzi wanaorandaranda ovyo darasani.
Kiranja wa darasa letu anaitwa Kamau Gitau. Yeye ni mwanafunzi mwenye bidii za mchwa na hufanya vyema darasani. Siku moja, wakati wa mvua hakuweza kubeba vitabu kumpelekea mwalimu.
7. ____________________ ndiye anashughulikia mambo ya nidhamu.
Answer
Bi Maria
Kifungu kinasema: Bi Maria.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU YA B: Tunga sentensi kwa kutumia maneno yafuatayo: a) watuQuestion 1
- SEHEMU YA C: Andika kinyume a) pandaQuestion 6
- SEHEMU YA D: Kanusha a) AnaliaQuestion 11
- b) walitorokaQuestion 12
- d) waliandikaQuestion 14
- SEHEMU YA E: Tumia 'enyewe' kujaza pengo kwa mfano: Mtoto mwenyewe ni mgonjwa a) Mwanafunzi___alicheza mpira.Question 16