CBC Grade 3 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 15
Pengo la 4
From Kiswahili — Competence Based Assessment First Trial 2025 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
SEHEMU YA 4: SARUFI
Soma kisha ujaze nafasi kwa kutumia maneno uliyopewa.
(Lugha, katika, chenye, alfabeti, sifa)
Kamusi ni kitabu __1__ maneno yaliyopangwa kwa __2__, yaliyokusanywa na kutolewa maana. Maneno __3__ kamusi hupangwa kulingana na makundi yenye __4__ zinazofanana. Kamusi hutumiwa na watu wa __5__ ya Kiswahili.
Pengo la 4
- ALugha
- Bkatika
- Cchenye
- Dalfabeti
- Esifa
Answer
E. sifa
… makundi yenye sifa zinazofanana.