CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 34
Jaza kwa kutumia maneno ya heshima. 24. Tafadhali mwalimu, naomba niende ___ (msalani, chooni)
From Kiswahili — Revision 4 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maneno ya Heshima
Jaza kwa kutumia maneno ya heshima.
24. Tafadhali mwalimu, naomba niende ________ (msalani, chooni)
- Amsalani
- Bchooni
Answer
A. msalani
Neno la heshima ni msalani.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Bi. Kamau anatarajia mtoto. Tunasema yeye ni ___ (mwenye mimba, mjamzito)Question 35
- SEHEMU YA D: KUANDIKA Andika aya moja fupi ya sentensi tano kuhusu: SIKUKUU NINAYOIPENDAQuestion 36
- SEHEMU YA A: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Jibu maamkizi na maagizo yafuatayo kwa kuzungumza. a) Umeshindaje?Question 1
- b) Usiku mwema?Question 2
- c) Safiri salama.Question 3
- d) Waambaje?Question 4