CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 21
Mkoba ___ ni wangu.
From Kiswahili — Revision 4 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Huu Huyu na Hii
11. Mkoba ________ ni wangu.
- Ahuu
- Bhuyu
- Chii
Answer
A. huu
Mkoba (U-I): mkoba huu.