CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 6
KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.
From Kiswahili — Revision 4 (2026) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Watu wakipendana, huishi kwa furaha. Mmoja wao akiwa na tatizo, wengine huwa tayari kumsaidia. Watu hushirikiana kwa kila jambo na maisha huwa bora. Kukiwa na sherehe, watu wote huja pamoja na kufurahi pamoja. Ni vizuri watu kuishi kwa upendo.
2. KUSOMA KWA SAUTI
Soma hadithi hii kwa sauti.
Answer
Watu wakipendana, huishi kwa furaha. Mmoja wao akiwa na tatizo, wengine huwa tayari kumsaidia. Watu hushirikiana kwa kila jambo na maisha huwa bora. Kukiwa na sherehe, watu wote huja pamoja na kufurahi pamoja. Ni vizuri watu kuishi kwa upendo.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.