CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 37
Taja kitu tunachokula wakati wa mchana.
From Kiswahili — Mid-Term 1 Assessment 2025 (Set 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vyakula
26. Taja kitu tunachokula wakati wa mchana.
Answer
wali
Jibu lolote la busara: wali, ugali, chapati, maharagwe.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Neno "Maji" lina herufi ngapi?Question 38
- Taja vitu viwili tunavyotumia kula chakula.Question 39
- Andika majina matatu ya vitu vinavyopatikana jikoni.Question 40
- Taja majina matatu ya matunda.Question 41
- SEHEMU A: KUSIKILIZA NA KUONGEA 1. Andika neno hili kwa herufi ndogo: MAMAQuestion 1
- Chora picha na majina: a) PakaQuestion 2