naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili End Term 3 Exam 2025 · Question 6

ZOEZI B: KUSOMA KWA SAUTI 1. Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.

From Kiswahili — End Term Assessment 2025 (Set 14) · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti

Hospitali ni mahali ambapo watu huenda wanapougua. Madaktari na wauguzi hufanya kazi ya kuwahudumia wagonjwa hospitalini ili wapate nafuu. Wao huwapa wagonjwa dawa. Kuna vyumba vingi hospitalini kama vile chumba cha kusubiri, ofisi ya daktari na chumba cha dharura. Hospitali ni muhimu kwa sababu zinatusaidia kuwa na afya njema.

ZOEZI B: KUSOMA KWA SAUTI
1. Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.

Answer

Hospitali ni mahali ambapo watu huenda wanapougua. Madaktari na wauguzi hufanya kazi ya kuwahudumia wagonjwa hospitalini ili wapate nafuu. Wao huwapa wagonjwa dawa. Kuna vyumba vingi hospitalini kama vile chumba cha kusubiri, ofisi ya daktari na chumba cha dharura. Hospitali ni muhimu kwa sababu zinatusaidia kuwa na afya njema.

Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test