CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 7
Soma sentensi kwa sauti
From Kiswahili — Term 2 End Term Assessment 2026 · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Mayai haya ni makubwa.
Nyani ana mkia mrefu.
Ng'ombe wetu wanalala.
Paka wangu alishika panya.
Tafadhali nisaidie na rula.
Nyani ana mkia mrefu.
Ng'ombe wetu wanalala.
Paka wangu alishika panya.
Tafadhali nisaidie na rula.
3. Soma sentensi kwa sauti
Answer
Mayai haya ni makubwa. Nyani ana mkia mrefu. Ng'ombe wetu wanalala. Paka wangu alishika panya. Tafadhali nisaidie na rula.
Soma kila neno la sentensi wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.