CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 29
Wao hucheza ___
From Kiswahili — Revision Paper 2 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma hadithi kisha ujibu maswali
Fika na Ondoka ni marafiki. Wao hucheza pamoja. Fika hupenda kandanda. Ondoka hupenda maembe. Wao huishi katika kijiji cha umoja.
29. Wao hucheza ____
Answer
pamoja
Hadithi inasema: pamoja.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.