CBC Grade 2 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 7
Soma sentensi hizi.
From Kiswahili — End Term 3 Assessment 2026 · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Wanafunzi wataletewa zawadi.
Huyu ni mtoto wa ami.
Familia yetu ina watu watatu.
Watalii wanapenda nchi yetu.
Ni vyema kusikiliza na kutii walimu.
Huyu ni mtoto wa ami.
Familia yetu ina watu watatu.
Watalii wanapenda nchi yetu.
Ni vyema kusikiliza na kutii walimu.
3. Soma sentensi hizi.
Answer
Wanafunzi wataletewa zawadi. Huyu ni mtoto wa ami. Familia yetu ina watu watatu. Watalii wanapenda nchi yetu. Ni vyema kusikiliza na kutii walimu.
Soma kila neno la sentensi wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.