CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam · Question 10
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali. Mimi ninaitwa Zawadi. Naishi Umoja pamoja na familia yangu. Baba yangu anaitwa Riziki na mama yangu anaitwa Upendo.…
From General Revision Paper 3 · 1 mark · Topic: Tarakimu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali.
Mimi ninaitwa Zawadi. Naishi Umoja pamoja na familia yangu. Baba yangu anaitwa Riziki na mama yangu anaitwa Upendo. Nina dada mmoja kwa jina Imani. Baba anafanya kazi shambani na mama hupika chakula kitamu. Dada yangu anapenda kusoma.
Maswali:
1. Mimi ninaitwa nani?
Answer
Zawadi
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.