CBC Grade 1 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 2
SOMA HADITHI
From Kiswahili — End Term 1 Exam 2025 (SET 3) — Sehemu A: Kusoma · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
AYOO
Ayoo ni mtoto. Baba yake ni Otieno. Mama yake anaitwa Kanini. Ayoo hukaa na baba yake. Ayoo huletewa mayai na shangazi yake Zainabu. Bibi humpa mabuyu.
Ayoo ni mtoto. Baba yake ni Otieno. Mama yake anaitwa Kanini. Ayoo hukaa na baba yake. Ayoo huletewa mayai na shangazi yake Zainabu. Bibi humpa mabuyu.
SOMA HADITHI
Answer
AYOO Ayoo ni mtoto. Baba yake ni Otieno. Mama yake anaitwa Kanini. Ayoo hukaa na baba yake. Ayoo huletewa mayai na shangazi yake Zainabu. Bibi humpa mabuyu.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kila kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.