CBC Grade 1 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 31
(b) Ina rangi ny__k__nd__ na ny__ __s__
From Kiswahili — First Trial Assessment 2025 (SET 2) · 2 marks · Topic: Kuandika, Rangi
Kamilisha sentensi hizi kuhusu picha hii (bendera).

(b) Ina rangi ny__k__nd__ na ny__ __s__
Answer
nyekundu na nyeusi
Bendera ina rangi nyekundu na nyeusi (pia kijani na nyeupe).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.